235SW - Millennia Iliyo Subiriwa Sana
These free Amazing Discoveries presentations are made possible through the financial support of viewers like you. Please donate to help this ministry continue to make these presentations available.
View All Comments Comments (0)
Add Comment
Loading Comment Box..
|
About This File
Title: 235SW - Millennia Iliyo Subiriwa Sana
Description: Dunia inasubiri millennia ya amani ambapo kristo atausimamisha ufalme wake na uovu wote utakoma. Je tutakaribisha millennia lini? Je biblia inafundisha nini kuhusu millennia ambapo watakatifu watahukumu ulimwengu? Je hii inalinganishwaje na fundisho kwamba dunia nzima itaongoka na kubadilika? Haya ndiyo mambo yanayobainishwa hapa. Tunapewa mtazamo mdogo wa dunia mpya na ufalme wa kristo. Hakutakuwepo na kifo wala uchungu wala mateso. Category: Total Onslaught - Swahili
Added: 30th September 2014
Views: 3080 Useful Links:
Share
Play This Media on Your Website:
URL: Related Media
|