|
DVD hii inaeleza njia ambazo vikundi tofauti vinavyojiita vyama vya kikristo wanaendesha matukio ya kiroho ilikutayarisha njia ya kuja kwa kristo wa kimataifa anayekidhi haja za dini zote. Vuguvugu la Christian science, umormon, wajehovah witnesses, na wana new age wanawekwa wazi. Hapa pia...
Tags:
|