220SW - Mwanamke Aliyemkalia Mnyama
Added: 29th September 2014
Views: 2998
Comments: 0

Filamu hii ni uchambuzi wa ufunuo 17 inayoeleza mwanamke anayedhibiti muungano wa nguvu. Mwanamke anazosifa za dini ya siri ya babiloni, nayo inawashawishi dunia kufuata amri yake. Uchambuzi wa kina inawakilishwa ikilinganisha mtazamo wa jumla kuhusu sura hii na ukweli wa siku za leo. Sura hii...

Tags:

View All Comments
Comments (0)
-