|
Katika filamu hii kazi za kisiri ya mpinga kristo yanabainishwa- jinsi anvyojiketisha katika hekalu la Mungu akidai kwamba yeye ni Mungu na eti anazo nguvu kumzidi aliye juu, akidai kwamba anao uwezo wa kubadilisha amri ya Kristo. Maana ya mabadiliko ambapo dunia nzima inapotoshwa yamewekwa wazi....
Tags:
|