|
Mada hii imekuwa fumbo kwa wachanganuzi wengi. Je uislamu inauingiliano upi na pambano hili la kimataifa. Je ni pambano la kisiasa, kidini ya mchanganyiko wa dini na siasa? Mwanzo wake ni upi na lengo lake nini? Je inaathiri vipi muungano wa makanisa na fundisho la wokovu katika kristo? Gundua...
Tags:
|