207SW - Makanisa Saba
Added: 29th September 2014
Views: 3594
Comments: 0

Ni uchambuzi wa kiunabii wa makanisa saba ya ufunuo 2 na 3. Katika DVD hii historia yote ya kanisa la kikristo, kuanzia siku za yesu kupitia wakati wa anguko la kiroho na uasi, wakati wa kulegeza msimamo hadi wakati wa mrejesho wa injili. Sura hizi zinaweka wazi mapambano makuu kati ya Kristo na...

Tags:

View All Comments
Comments (0)
-