203SW - Mtetezi Kwa wakati wetu
Added: 29th September 2014
Views: 3124
Comments: 0

Hekalu ni moja mifano mikuu katika biblia. Kila kitu ndani ya hekalu ilimlenga kristo. Mpango mzima wa wokovu unafunuliwa wazi ukichunguza sifa zake. Katika hotuba hii, umuhimu ya kila chombo katika hekalu inaelezwa na maana zao za ndani. Hekalu haikuwepo kiajali tuu. Ni kitabucha kujifundishia...

Tags:

View All Comments
Comments (0)
-