202SW - Mahali yesu Alitembea
Added: 29th September 2014
Views: 3341
Comments: 0

DVD hii ni safari kupitia nchi ya palestina ikifuata mapito ya bwana wetu ikitaja mafundisho yake makuu, kama vile hotuba yake mlimani, fumbo moja kuu. Maisha na huduma ya kristo, kuzaliwa kwake, na kifo chake msalabani inaonyeshwa kwa namna ya kisasa naya kusisimua. Utafurahia fundisho hili...

Tags:

View All Comments
Comments (0)
-