201SW - Mtu Mwengine
Added: 29th September 2014
Views: 3556
Comments: 0

Katika DVD hii, thibitisho la Biblia kwamba kristo ni masihi inaelezwa. Unabii wa zamani inawekwa wazi, hasahasa ile ya Danieli 9 inayozungumzia majuma sabini inayotuambia bayana wakati wa kuja kwa kristo duniani. Kujifundisha unabii huu umelaaniwa na wasomi wa dini ilikwamba watu wa mjue kristo....

Tags:

View All Comments
Comments (0)
-