Total Onslaught - Swahili
201SW - Mtu Mwengine
Added: 29th September 2014
Views: 3801
Comments: 0
Katika DVD hii, thibitisho la Biblia kwamba kristo ni masihi inaelezwa. Unabii wa zamani inawekwa wazi, hasahasa ile ya Danieli 9 inayozungumzia majuma sabini inayotuambia bayana wakati wa kuja kwa kristo duniani. Kujifundisha unabii huu umelaaniwa na wasomi wa dini ilikwamba watu wa mjue kristo. Jifundishe ukweli jinsi ambavyo imetangazwa katika DVD hii kisha ufanye uamuzi.

202SW - Mahali yesu Alitembea
Added: 29th September 2014
Views: 3594
Comments: 0
DVD hii ni safari kupitia nchi ya palestina ikifuata mapito ya bwana wetu ikitaja mafundisho yake makuu, kama vile hotuba yake mlimani, fumbo moja kuu. Maisha na huduma ya kristo, kuzaliwa kwake, na kifo chake msalabani inaonyeshwa kwa namna ya kisasa naya kusisimua. Utafurahia fundisho hili kuhusu maisha ya kristo.

203SW - Mtetezi Kwa wakati wetu
Added: 29th September 2014
Views: 3342
Comments: 0
Hekalu ni moja mifano mikuu katika biblia. Kila kitu ndani ya hekalu ilimlenga kristo. Mpango mzima wa wokovu unafunuliwa wazi ukichunguza sifa zake. Katika hotuba hii, umuhimu ya kila chombo katika hekalu inaelezwa na maana zao za ndani. Hekalu haikuwepo kiajali tuu. Ni kitabucha kujifundishia kwa vizazi vyote.

204SW - Ukungu wa Wakati
Added: 29th September 2014
Views: 3301
Comments: 0
Katika Danieli sura ya pili, mfalme nebukadineza anaota ndoto naye alitazama sanamu kubwa ambayo historia ya dunia hadi mwisho wa wakati ilifunuliwa. Maelezo ya kushangaza yanatuambia mahali tulipo katika mkondo wa wakati na matukio gani yanayokwenda kutukia ulimwenguni. Maono haya yanaelezwa kwa kina na historia inathibitisha uhakika wake.

205SW - Mtu Wa Siri
Added: 29th September 2014
Views: 4248
Comments: 0
Biblia peke yake ndiyo yafaa kutumiwa kumgundua mpinga Kristo. Pembe ndogo katika Danieli inamlenga yeye tu anayefaa kuwa mpinga kristo kutokana na sifa zake saba. Uongo wa kisasa kuhusu pembe ndogo kama vile fundisho la kipreteristi (preterism) (fundisho kwamba mpinga Kristo alikuwepo katika zama za kale) na ile ya kifuturisti (futurism) (kwamba mpinga kristo atakuja siku za usoni) zinalinganishwa na ukweli wa biblia. Neno la mungu ni kali kuliko upanga ukatao kuwili inayokata hadi mfupani.

206SW - Ufunuo Wa Yesu Kristo
Added: 29th September 2014
Views: 3396
Comments: 0
Hotuba hii inatanguliza kitabu cha ufunuo na mwandishi wake. ni mjadala wa fungu baada ya fungu ya sura ya kwanza ya ufunuo. Ikiweka wazi uungu wa kristo, jinsi ya kutafsili na vita vikuu kati ya wema na uovu. Inatuchukua katika tamaduni za zamani hadi za kisasa ikionyesha uasi didhi ya kweli ikipata nafasi katika zama hizi.

207SW - Makanisa Saba
Added: 29th September 2014
Views: 3932
Comments: 0
Ni uchambuzi wa kiunabii wa makanisa saba ya ufunuo 2 na 3. Katika DVD hii historia yote ya kanisa la kikristo, kuanzia siku za yesu kupitia wakati wa anguko la kiroho na uasi, wakati wa kulegeza msimamo hadi wakati wa mrejesho wa injili. Sura hizi zinaweka wazi mapambano makuu kati ya Kristo na Shetani.

208SW - Mihuri Saba
Added: 29th September 2014
Views: 3198
Comments: 0
Huu ni uchamabuzi wa ufunuo 4 na 7 ikionyesha wazi vita juu ya injili. Ni kisa kikuu cha vita kati ya nuru na giza ambayo inafikia kilele chake katika mashambulizi ya mwisho didhi ya wokovu wa kristo yesu. Inatuambia kwamba kutakuwepo na watu watakao simama imara nao hawatakubali kulegeza msimamo.

209SW - Baragumu Zinapolia
Added: 29th September 2014
Views: 4034
Comments: 0
Baragumu imekuwa mojawapo wa maswali tata kwa wanatheologia. Katika fundisho hili, tafsiri mbalimbali zinalinganishwa na uchambuzi wa biblia sawasawa na muundo wa kitabu cha ufunuo na ushahidi zaidi kuhusu somo hili. Baragumu katika biblia inatagaza hukumu na ndio sababu tunatafuta maana za baragumu hizi kwa muktadha wa ufunuo.

210SW - Mnyama Kutoka Shimo la Kuzimu
Added: 29th September 2014
Views: 4280
Comments: 0
Katika sura ya 11 ya ufunuo mnyama kutoka shimo la kuzimu anatajwa naye anajaribu kuongeza mifumo na nyendo mpya katika injili ya uongo inayotoka katika shimo la kuzimu ikihatarisha nuru duniani. Mtazamo wa kina katika mapinduzi ya ufaransa na falsafa yake na jinsi itakavyopelekea kuwepo kwa mfumo mpya duniani inafanywa. DVD hii inaweka wazi Nyanja mbalimbali za ufalme huu wa giza ambayo shetani anajaribu kuusimamisha na jinsi ambavyo itakavyoathiri maisha ya hao waishio sasa. DVD hii ni msin...

-